Skip to content
الصَّافَات /

Aya 125

37 : 125
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 125

أَتَدۡعُونَ بَعۡلٗا وَتَذَرُونَ أَحۡسَنَ ٱلۡخَٰلِقِينَ

Mnamwomba Baa'li na mnamwacha Mbora wa waumbaji,.

Explanation & meanings · 1
  1. Mnaliabudu sanamu linalo itwa Baa'li, na mkaacha kumuabudu Mwenyezi Mungu aliye uumba ulimwengu na akaufanya mzuri uumbaji wake?