Skip to content
الصَّافَات /

Aya 124

37 : 124

Aya 124 of الصَّافَات (37 : 124). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 124

إِذۡ قَالَ لِقَوۡمِهِۦٓ أَلَا تَتَّقُونَ

Alipo waambia watu wake: Hamwogopi?.

Explanation & meanings · 1
  1. Ilyas alipo waambia watu wake, nao walikuwa wakiyaabudu masanamu yao: Je! Mnaendelea juu ya makosa yenu, na wala hamumkhofu Mwenyezi Mungu mkajikinga na adhabu yake?