36 : 64
ٱصۡلَوۡهَا ٱلۡيَوۡمَ بِمَا كُنتُمۡ تَكۡفُرُونَ
Ingieni leo kwa vile mlivyo kuwa mkikufuru.
Explanation & meanings · 1
- Ingieni! Na hilikini kwa joto lake hii leo kwa ukafiri wenu!