Skip to content
يسٓ /

Aya 63

36 : 63
يسٓ Aya 83
Sura · يسٓ
Kiswahili · Barawani
36 : 63

هَٰذِهِۦ جَهَنَّمُ ٱلَّتِي كُنتُمۡ تُوعَدُونَ

Hii basi ndiyo Jahannamu mliyo kuwa mkiahidiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Wataambiwa: Hii ndiyo Jahannamu mliyo kuwa mkiahidiwa mlipo kuwa duniani. Ndiyo jaza ya ukafiri wenu.