Skip to content
يسٓ /

Aya 44

36 : 44
يسٓ Aya 83
Sura · يسٓ
Kiswahili · Barawani
36 : 44

إِلَّا رَحۡمَةٗ مِّنَّا وَمَتَٰعًا إِلَىٰ حِينٖ

Isipo kuwa kwa rehema zitokazo kwetu na starehe kwa muda.

Explanation & meanings · 1
  1. Lakini Sisi hatuwazamishi, kwa sababu ya rehema inayo tokana nasi, na ili tuwastareheshe kwa muda ulio kwisha kadiriwa.