35 : 16
إِن يَشَأۡ يُذۡهِبۡكُمۡ وَيَأۡتِ بِخَلۡقٖ جَدِيدٖ
Akitaka atakuondoeni na alete viumbe vipya.
Explanation & meanings · 1
- Mwenyezi Mungu akitaka kukuteketezeni, basi atakuteketezeni kwa utimilivu wa uweza wake. Na alete uumbaji mpya utao ridhiana na hikima yake.