Skip to content
الأحزَاب /

Aya 28

33 : 28
الأحزَاب Aya 73
Sura · الأحزَاب
Kiswahili · Barawani
33 : 28

يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّبِيُّ قُل لِّأَزۡوَٰجِكَ إِن كُنتُنَّ تُرِدۡنَ ٱلۡحَيَوٰةَ ٱلدُّنۡيَا وَزِينَتَهَا فَتَعَالَيۡنَ أُمَتِّعۡكُنَّ وَأُسَرِّحۡكُنَّ سَرَاحٗا جَمِيلٗا

Ewe Nabii! Waambie wake zako: Ikiwa mnataka maisha ya dunia na pambo lake, basi njooni, nitakupeni kitoka nyumba, na kukuacheni mwachano mzuri.

Explanation & meanings · 1
  1. Ewe Nabii! Waambie wake zako kwa kuwanasihi: Ikiwa mnataka maisha ya duniani na starehe zake, basi jongeeni nitakupeni cha kupunguza upweke wa talaka, itakuwa ni tunza yenu. Na nitakupeni talaka isiyo na uovu ndani yake.