31 : 8
إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُمۡ جَنَّٰتُ ٱلنَّعِيمِ
Hakika walio amini na wakatenda mema watakuwa nazo Bustani za neema.
Explanation & meanings · 1
- Hakika walio amini na wakatenda vitendo vyema watapata Bustani zenye neema.