31 : 24
نُمَتِّعُهُمۡ قَلِيلٗا ثُمَّ نَضۡطَرُّهُمۡ إِلَىٰ عَذَابٍ غَلِيظٖ
Tunawastarehesha kwa uchache, kisha tutawasukuma kwenye adhabu ngumu.
Explanation & meanings · 1
- Tunawastarehesha kwa muda mchache katika dunia yao, kisha tutawalazimisha kwenda kwenye adhabu kali isiyo stahimilika.