Skip to content
آل عِمران /

Aya 87

3 : 87

Aya 87 of آل عِمران (3 : 87). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

آل عِمران Aya 200
Sura · آل عِمران
Kiswahili · Barawani
3 : 87

أُوْلَٰٓئِكَ جَزَآؤُهُمۡ أَنَّ عَلَيۡهِمۡ لَعۡنَةَ ٱللَّهِ وَٱلۡمَلَٰٓئِكَةِ وَٱلنَّاسِ أَجۡمَعِينَ

Hao malipo yao ni kuwa ipo juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote.

Explanation & meanings · 1
  1. Adhabu ya watu hao wataipata kutoka kwa Mwenyezi Mungu kama wanavyo stahiki kukasirika kwake juu yao, na laana yake, na laana ya bora ya viumbe vyake miongoni mwa Malaika na wanaadamu.