Skip to content
Al-'Imran /

Aya 88

3 : 88

Aya 88 of Al-'Imran (3 : 88). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

Al-'Imran Aya 200
Sura · Al-'Imran
Kiswahili · Barawani
3 : 88

خَٰلِدِينَ فِيهَا لَا يُخَفَّفُ عَنۡهُمُ ٱلۡعَذَابُ وَلَا هُمۡ يُنظَرُونَ

Humo watadumu. Hawatapunguziwa adhabu wala hawatapewa nafasi.

Explanation & meanings · 1
  1. Laana hiyo haitowabanduka, wala hawatapunguziwa adhabu, wala hawapewi muhula.