Skip to content
آل عِمران /

Aya 74

3 : 74

Aya 74 of آل عِمران (3 : 74). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

آل عِمران Aya 200
Sura · آل عِمران
Kiswahili · Barawani
3 : 74

يَخۡتَصُّ بِرَحۡمَتِهِۦ مَن يَشَآءُۗ وَٱللَّهُ ذُو ٱلۡفَضۡلِ ٱلۡعَظِيمِ

Yeye humchagua kumpa rehema zake amtakaye; na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye fadhila kubwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Yeye Mwenyezi Mungu humpa amtakaye Unabii na Utume, na anaye mkhusisha kwa kumpa hayo ni katika fadhila yake tu. Na Mwenyezi Mungu ana fadhila kubwa kubwa kabisa, na wala hapana anaye muingilia yeyote, wala hapana anaye mzuia katika kutoa kwake.