Skip to content
آل عِمران /

Aya 70

3 : 70
آل عِمران Aya 200
Sura · آل عِمران
Kiswahili · Barawani
3 : 70

يَٰٓأَهۡلَ ٱلۡكِتَٰبِ لِمَ تَكۡفُرُونَ بِـَٔايَٰتِ ٱللَّهِ وَأَنتُمۡ تَشۡهَدُونَ

Enyi Watu wa Kitabu! Mbona mnazikataa Ishara za Mwenyezi Mungu ilhali nyinyi mnashuhudia?

Explanation & meanings · 1
  1. Enyi Watu wa Kitabu! Kwa nini mnakanusha Aya na Ishara za Mwenyezi Mungu zilizo teremka kuthibitisha Unabii wa Muhammad, s.a.w. na hali nyinyi mnaijua haki?