Skip to content
آل عِمران /

Aya 63

3 : 63
آل عِمران Aya 200
Sura · آل عِمران
Kiswahili · Barawani
3 : 63

فَإِن تَوَلَّوۡاْ فَإِنَّ ٱللَّهَ عَلِيمُۢ بِٱلۡمُفۡسِدِينَ

Na kama wakigeuka basi Mwenyezi Mungu anawajua waharibifu.

Explanation & meanings · 1
  1. Wakiikataa Haki baada ya kwisha wadhihirikia, na wasiache upotovu wao, basi hao ndio waharibifu. Na Mwenyezi Mungu anawajua.