Skip to content
آل عِمران /

Aya 62

3 : 62

Aya 62 of آل عِمران (3 : 62). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

آل عِمران Aya 200
Sura · آل عِمران
Kiswahili · Barawani
3 : 62

إِنَّ هَٰذَا لَهُوَ ٱلۡقَصَصُ ٱلۡحَقُّۚ وَمَا مِنۡ إِلَٰهٍ إِلَّا ٱللَّهُۚ وَإِنَّ ٱللَّهَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡحَكِيمُ

Hakika haya ndiyo maelezo ya kweli. Na hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu tu, na hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye nguvu na Mwenye hikima.

Explanation & meanings · 1
  1. Hiyo ndiyo kweli isiyo na shaka yoyote. Kwani hapanapo mungu ila Mwenyezi Mungu aliye umba kila kitu, na Yeye ni pekee katika utukufu wa Ufalme wake na hikima katika uumbaji wake.