Skip to content
آل عِمران /

Aya 22

3 : 22

Aya 22 of آل عِمران (3 : 22). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

آل عِمران Aya 200
Sura · آل عِمران
Kiswahili · Barawani
3 : 22

أُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ حَبِطَتۡ أَعۡمَٰلُهُمۡ فِي ٱلدُّنۡيَا وَٱلۡأٓخِرَةِ وَمَا لَهُم مِّن نَّٰصِرِينَ

Hao ndio ambao vitendo vyao vimeharibika duniani na Akhera. Nao hawatapata wa kuwanusuru.

Explanation & meanings · 1
  1. Watu wenye sifa kama hizo, a'mali zao zimebat'ilika ijapo kuwa baadhi yake ni njema, na hazina matunda. Kwa hivyo haziwafai duniani, na mwisho wake ni hizaya na adhabu huko Akhera. Na wala hawana wa kuwaokoa na khasara na adhabu watayo ipata.