Skip to content
الشعراء /

Aya 97

26 : 97
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 97

تَٱللَّهِ إِن كُنَّا لَفِي ضَلَٰلٖ مُّبِينٍ

Wallahi! Kwa yakini tulikuwa katika upotovu ulio dhaahiri,

Explanation & meanings · 1
  1. Wallahi! Hakika sisi tulikuwa katika dunia yetu tumepotea kweli, na wajinga wa kutupwa, na tumeiacha Haki ambayo haina kificho ndani yake.