Skip to content
الشعراء /

Aya 78

26 : 78
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 78

ٱلَّذِي خَلَقَنِي فَهُوَ يَهۡدِينِ

Ambaye ndiye aliye niumba, na Yeye ndiye ananiongoa,

Explanation & meanings · 1
  1. Ambae ndiye aliye nizua kabla sijawa chochote akaniumba kwa bora ya umbo, na akanitunukia uwongofu wa kunifikishia kwenye mafanikio yangu ya duniani na Akhera.