Skip to content
الشعراء /

Aya 59

26 : 59
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 59

كَذَٰلِكَۖ وَأَوۡرَثۡنَٰهَا بَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ

Kadhaalika; na tukawarithisha hayo Wana wa Israili.

Explanation & meanings · 1
  1. Ni kutoka kama huku kwa ajabu tulivyo kueleza ndivyo tulivyo watoa, na tukawapa ufalme huo na kila namna ya neema zilizo kuwamo Wana wa Israili, baada ya kuwa masikini hawana mbele wala nyuma.