26 : 225
أَلَمۡ تَرَ أَنَّهُمۡ فِي كُلِّ وَادٖ يَهِيمُونَ
Je! Huwaoni kwamba wao wanatangatanga katika kila bonde?
Explanation & meanings · 1
- Kwani huwaoni vile wanavyo tangatanga katika mabonde ya maneno wala hawaongoki kwenye Haki?
Aya 225 of الشعراء (26 : 225). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
أَلَمۡ تَرَ أَنَّهُمۡ فِي كُلِّ وَادٖ يَهِيمُونَ
Je! Huwaoni kwamba wao wanatangatanga katika kila bonde?