26 : 123
كَذَّبَتۡ عَادٌ ٱلۡمُرۡسَلِينَ
Kina A'd waliwakanusha Mitume.
Explanation & meanings · 1
- Kabila ya A'di ilimkanusha Mtume wao Hud a.s. Na kwa hivyo wakawa ndio wamewakadhibisha Mitume wote, kwa kuwa wito wao ni mmoja katika asli yake na lengo lake.