Skip to content
الفُرقَان /

Aya 51

25 : 51
الفُرقَان Aya 77
Sura · الفُرقَان
Kiswahili · Barawani
25 : 51

وَلَوۡ شِئۡنَا لَبَعَثۡنَا فِي كُلِّ قَرۡيَةٖ نَّذِيرٗا

Na tungeli taka tungeli peleka katika kila mji Mwonyaji.

Explanation & meanings · 1
  1. Na lau kuwa tumetaka basi tungeli mpeleka mwonyaji kwenye kila mji. Basi jitahidi na wito wako; na wacha maneno ya makafiri; na tupilia mbali wanayo yaleta.