Skip to content
النور /

Aya 9

24 : 9

Aya 9 of النور (24 : 9). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النور Aya 64
Sura · النور
Kiswahili · Barawani
24 : 9

وَٱلۡخَٰمِسَةَ أَنَّ غَضَبَ ٱللَّهِ عَلَيۡهَآ إِن كَانَ مِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ

Na mara ya tano ya kwamba ghadhabu ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake kama mumewe yu miongoni mwa wanao sema kweli.

Explanation & meanings · 1
  1. Na ataje katika mara ya tano kuwa yeye mwanamke anastahiki ghadhabu ya Mwenyezi Mungu imshukie ikiwa mumewe ni mwenye kusema kweli katika tuhuma yake.