Skip to content
النور /

Aya 7

24 : 7

Aya 7 of النور (24 : 7). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النور Aya 64
Sura · النور
Kiswahili · Barawani
24 : 7

وَٱلۡخَٰمِسَةُ أَنَّ لَعۡنَتَ ٱللَّهِ عَلَيۡهِ إِن كَانَ مِنَ ٱلۡكَٰذِبِينَ

Na mara ya tano kwamba laana ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake ikiwa ni miongoni mwa waongo.

Explanation & meanings · 1
  1. Na mara ya tano aseme kuwa yeye anastahiki kutengwa na rehema ya Mwenyezi Mungu akiwa ni mwenye kusema uwongo kwa hayo.