Skip to content
النور /

Aya 6

24 : 6
النور Aya 64
Sura · النور
Kiswahili · Barawani
24 : 6

وَٱلَّذِينَ يَرۡمُونَ أَزۡوَٰجَهُمۡ وَلَمۡ يَكُن لَّهُمۡ شُهَدَآءُ إِلَّآ أَنفُسُهُمۡ فَشَهَٰدَةُ أَحَدِهِمۡ أَرۡبَعُ شَهَٰدَٰتِۭ بِٱللَّهِ إِنَّهُۥ لَمِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ

Na wale wanao wasingizia wake zao na hawana mashahidi ila nafsi zao, basi ushahidi wa mmoja wao utakuwa kushuhudilia mara nne kwa kiapo cha Mwenyezi Mungu ya kwamba hakika yeye ni katika wasema kweli.

Explanation & meanings · 1
  1. Na hao wanao watuhumu wake zao kuwa wamezini na hawana mashahidi wanao takikana kushuhudia ukweli wa tuhuma yao, basi anatakikana mmoja wa hao kama anataka isimpate adhabu, ashuhudie kwa Mwenyezi Mungu mara nne kuwa yeye ni mkweli katika hiyo tuhuma yake.