Skip to content
المؤمنُون /

Aya 98

23 : 98
المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 98

وَأَعُوذُ بِكَ رَبِّ أَن يَحۡضُرُونِ

Na najikinga kwako, Mola wangu Mlezi, wasinikaribie.

Explanation & meanings · 1
  1. Na ewe Mola Mlezi! Najilinda kwako wasiwe nami katika kitendo chochote ili kitendo hicho kiwe kimetakasika, safi, kwa ajili ya ridhaa yako tukufu.