22 : 21 وَلَهُم مَّقَٰمِعُ مِنۡ حَدِيدٖ Na kwa ajili yao yatakuwapo marungu ya chuma. 21Hide explanation (1)Explanation & meanings · 121Na pia wataandaliwa marungu ya chuma.