22 : 20
يُصۡهَرُ بِهِۦ مَا فِي بُطُونِهِمۡ وَٱلۡجُلُودُ
Kwa maji hayo vitayayushwa viliomo matumboni mwao, na ngozi zao pia.
Explanation & meanings · 1
- Yatawapenya mpaka kwenye matumbo yao, viliomo ndani viyayuke kama zitavyo yayuka ngozi zao!