Skip to content
الأنبيَاء /

Aya 61

21 : 61
الأنبيَاء Aya 112
Sura · الأنبيَاء
Kiswahili · Barawani
21 : 61

قَالُواْ فَأۡتُواْ بِهِۦ عَلَىٰٓ أَعۡيُنِ ٱلنَّاسِ لَعَلَّهُمۡ يَشۡهَدُونَ

Wakasema: Mleteni mbele ya macho ya watu, wapate kumshuhudia

Explanation & meanings · 1
  1. Wakasema wakubwa wao: Nendeni mkamlete, ahukumiwe mbele ya macho ya watu, na washuhudie aliyo yatenda!