21 : 60
قَالُواْ سَمِعۡنَا فَتٗى يَذۡكُرُهُمۡ يُقَالُ لَهُۥٓ إِبۡرَٰهِيمُ
Wakasema: Tumemsikia kijana mmoja akiwataja. Anaitwa Ibrahim.
Explanation & meanings · 1
- Wakasema baadhi yao: Tumemsikia kijana mmoja akiitaja kwa kuisubu (kuitukana) ; naye anaitwa Ibrahim.