Skip to content
الكَهف /

Aya 76

18 : 76

Aya 76 of الكَهف (18 : 76). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 76

قَالَ إِن سَأَلۡتُكَ عَن شَيۡءِۭ بَعۡدَهَا فَلَا تُصَٰحِبۡنِيۖ قَدۡ بَلَغۡتَ مِن لَّدُنِّي عُذۡرٗا

Akasema: Nikikuuliza kitu chochote baada ya haya usifuatane nami, kwani umekwisha pata udhuru kwangu.

Explanation & meanings · 1
  1. Musa akasema: Nikikuuliza lolote baada ya mara hii basi usifuatane nami, kwani umekwisha fikilia kiwango cha kupata udhuru wa kutokuwa nami.