Skip to content
الكَهف /

Aya 75

18 : 75

Aya 75 of الكَهف (18 : 75). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 75

۞ قَالَ أَلَمۡ أَقُل لَّكَ إِنَّكَ لَن تَسۡتَطِيعَ مَعِيَ صَبۡرٗا

AKASEMA: Je! Sikukwambia kwamba hakika wewe huwezi kuvumilia kuwa pamoja nami?

Explanation & meanings · 1
  1. Mja mwema akamwambia Musa: Mimi nalikwambia kwamba wewe hutaweza kustahamili ukanyamaza kimya usiniulize.