18 : 11
فَضَرَبۡنَا عَلَىٰٓ ءَاذَانِهِمۡ فِي ٱلۡكَهۡفِ سِنِينَ عَدَدٗا
Tukayaziba masikio yao kuwalaza humo pangoni kwa muda wa miaka kadhaa wa kadhaa.
Explanation & meanings · 1
- Tukaipokea dua yao hiyo, tukawalaza kwa salama katika hilo pango kwa muda wa miaka kadhaa wa kadhaa.