Skip to content
الإسرَاء /

Aya 81

17 : 81
الإسرَاء Aya 111
Sura · الإسرَاء
Kiswahili · Barawani
17 : 81

وَقُلۡ جَآءَ ٱلۡحَقُّ وَزَهَقَ ٱلۡبَٰطِلُۚ إِنَّ ٱلۡبَٰطِلَ كَانَ زَهُوقٗا

Na sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka. Hakika uwongo lazima utoweke!

Explanation & meanings · 1
  1. Na sema ukiwaonya watu wako washirikina: Haki ya Tawhid, Imani ya Mungu Mmoja, na Dini ya Kweli na Uadilifu, imekwisha fika. Na uwongo, na ushirikina, na dini ya ufisadi na dhulma, yote hayo yameondoka. Kwani uwongo daima hauna dawamu.