Skip to content
Al-Isra /

Aya 62

17 : 62

Aya 62 of Al-Isra (17 : 62). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

Al-Isra Aya 111
Sura · Al-Isra
Kiswahili · Barawani
17 : 62

قَالَ أَرَءَيۡتَكَ هَٰذَا ٱلَّذِي كَرَّمۡتَ عَلَيَّ لَئِنۡ أَخَّرۡتَنِ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلۡقِيَٰمَةِ لَأَحۡتَنِكَنَّ ذُرِّيَّتَهُۥٓ إِلَّا قَلِيلٗا

Akasema: Hebu nambie khabari ya huyu uliye mtukuza juu yangu. Ukiniakhirisha mpaka Siku ya Kiyama, hapana shaka nitawaangamiza dhuriya zake wasipo kuwa wachache tu.

Explanation & meanings · 1
  1. Iblisi akasema: Ewe Mola wangu Mlezi hebu ni ambie khabari za huyu uliye mtukuza juu yangu, ukaniamrisha ni msujudie kwanini kamtukuza kuliko mimi, na mimi ni bora kuliko yeye, Naapa kwa utukufu wako. Ukinibakisha ni hai mpaka siku ya Kiyama, basi nitawahiliki dhuria zao watao wazaa kwa kuwaghuri isipokwa wachache tu, kati yao utakao walinda na Kuwahifadhi.