Skip to content
النَّحل /

Aya 7

16 : 7

Aya 7 of النَّحل (16 : 7). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 7

وَتَحۡمِلُ أَثۡقَالَكُمۡ إِلَىٰ بَلَدٖ لَّمۡ تَكُونُواْ بَٰلِغِيهِ إِلَّا بِشِقِّ ٱلۡأَنفُسِۚ إِنَّ رَبَّكُمۡ لَرَءُوفٞ رَّحِيمٞ

Na hubeba mizigo yenu kupeleka kwenye miji msiyo weza kuifikia ila kwa mashaka ya nafsi. Hakika Mola wenu Mlezi ni Mpole na Mwenye kurehemu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wanakubebeeni mizigo yenu mizito mpaka kwenye miji ambayo hamwezi kuifikilia bila yao isipo kuwa mzitie nafsi zenu katika juhudi na mashaka makubwa. Hakika Mola wenu Mlezi aliye kutengenezeeni hayo yote kwa ajili ya raha yenu bila ya shaka ni Mwingi wa upole, na Mkunjufu wa rehema kwenu.