Skip to content
النَّحل /

Aya 46

16 : 46

Aya 46 of النَّحل (16 : 46). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 46

أَوۡ يَأۡخُذَهُمۡ فِي تَقَلُّبِهِمۡ فَمَا هُم بِمُعۡجِزِينَ

Au hatawashika katika nyendo zao, na wala hawataponyoka?

Explanation & meanings · 1
  1. Au ikawahiliki kati ya nyendo zao katika nchi kwa ajili ya biashara nao wapo mbali na makwao, hata wasiweze kuikwepa adhabu ya Mwenyezi Mungu? Kwani Yeye haemewi na chochote akitakacho!