Skip to content
النَّحل /

Aya 45

16 : 45

Aya 45 of النَّحل (16 : 45). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 45

أَفَأَمِنَ ٱلَّذِينَ مَكَرُواْ ٱلسَّيِّـَٔاتِ أَن يَخۡسِفَ ٱللَّهُ بِهِمُ ٱلۡأَرۡضَ أَوۡ يَأۡتِيَهُمُ ٱلۡعَذَابُ مِنۡ حَيۡثُ لَا يَشۡعُرُونَ

Je! Wameaminisha wanao fanya vitimbi vya uovu kwamba MwenyeziMungu hatawadidimiza katika ardhi, na haitawafika adhabu kutoka wasipopajua?

Explanation & meanings · 1
  1. Yafaa vipi basi baada ya yote haya kuwa hao washirikina wakaendelea katika inda yao, na wakampangia vitimbi Mtume? Je, kwani wamedanganyika na upole wa Mwenyezi Mungu kwao, hata wakaitakidi kuwa wameaminika na adhabu ya Mwenyezi Mungu, na ardhi haitowameza kama ilivyo mfanyia Qaaruun? Au kuwa adhabu haitowajia kwa ghafla katika kimbunga kama ilivyo wapata kina Thamud nao hawajui inatoka wapi?