Skip to content
النَّحل /

Aya 42

16 : 42

Aya 42 of النَّحل (16 : 42). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 42

ٱلَّذِينَ صَبَرُواْ وَعَلَىٰ رَبِّهِمۡ يَتَوَكَّلُونَ

Wale wanao subiri na wakamtegemea Mola wao Mlezi.

Explanation & meanings · 1
  1. Na hao Wahajiri (Walio hama) ndio walio vumilia adhabu walio ipata kwa sababu ya Itikadi yao, na wakamwachia hali yao Mwenyezi Mungu peke yake, bila ya kumbali mwenginewe. Kwa ajili ya hayo tumewapa bora ya malipo.