Skip to content
النَّحل /

Aya 34

16 : 34

Aya 34 of النَّحل (16 : 34). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 34

فَأَصَابَهُمۡ سَيِّـَٔاتُ مَا عَمِلُواْ وَحَاقَ بِهِم مَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ

Basi ukawafikia uovu wa waliyo yatenda, na waliyo kuwa wakiyakejeli yakawazunguka.

Explanation & meanings · 1
  1. Yakawasibu malipo ya maovu waliyo yatenda, na adhabu waliyo kuwa wakiikanya na kuikejeli ikawazunguka.