Skip to content
النَّحل /

Aya 31

16 : 31

Aya 31 of النَّحل (16 : 31). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 31

جَنَّٰتُ عَدۡنٖ يَدۡخُلُونَهَا تَجۡرِي مِن تَحۡتِهَا ٱلۡأَنۡهَٰرُۖ لَهُمۡ فِيهَا مَا يَشَآءُونَۚ كَذَٰلِكَ يَجۡزِي ٱللَّهُ ٱلۡمُتَّقِينَ

Bustani za milele wataziingia; iwe inapita kati yake mito. Humo watapata watakacho. Hivi ndivyo Mwenyezi Mungu awalipavyo wenye kumcha.

Explanation & meanings · 1
  1. Nazo ni Bustani madhubuti za kudumu, zenye kupitiwa na mito chini ya majumba na miti yake. Na hao watapata kila neema waipendayo. Na mfano kama huu ndio malipo ya mema anayo walipa Mwenyezi Mungu wachamngu wote wanao muamini, na wakajikinga na yanayo mkasirisha, na wakavifanya vyema vitendo vyao.