Skip to content
النَّحل /

Aya 26

16 : 26
النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 26

قَدۡ مَكَرَ ٱلَّذِينَ مِن قَبۡلِهِمۡ فَأَتَى ٱللَّهُ بُنۡيَٰنَهُم مِّنَ ٱلۡقَوَاعِدِ فَخَرَّ عَلَيۡهِمُ ٱلسَّقۡفُ مِن فَوۡقِهِمۡ وَأَتَىٰهُمُ ٱلۡعَذَابُ مِنۡ حَيۡثُ لَا يَشۡعُرُونَ

Walipanga vitimbi walio kuwa kabla yao, Mwenyezi Mungu akayasukua majengo yao kwenye misingi, dari zikawaporomokea juu yao, na adhabu ikawajia kutoka wasipo kujua.

Explanation & meanings · 1
  1. Na hawa makafiri wenye kiburi walitanguliwa na wengine mfano wao. Walipanga njama zao kuwapangia Manabii wao, na wakafanya hila kuwapoteza watu. Na Mwenyezi Mungu alizibomoa njama zao, akaiharibu miji yao. Akawateremshia adhabu katika dunia ambayo hawakuitaraji.