16 : 122
وَءَاتَيۡنَٰهُ فِي ٱلدُّنۡيَا حَسَنَةٗۖ وَإِنَّهُۥ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ لَمِنَ ٱلصَّٰلِحِينَ
Na tukampa wema duniani, na hakika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.
Explanation & meanings · 1
- Na tumemjaalia duniani atajike vyema, na hakika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema wanao neemeshwa kwa Pepo za Allah na radhi zake.