Skip to content
النَّحل /

Aya 117

16 : 117

Aya 117 of النَّحل (16 : 117). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 117

مَتَٰعٞ قَلِيلٞ وَلَهُمۡ عَذَابٌ أَلِيمٞ

Ni starehe ndogo, nao watapata adhabu chungu.

Explanation & meanings · 1
  1. Wakiendelea kufuata matamanio yao ya kidunia, basi hakika starehe yao hiyo ni chache na haina dawamu, na Akhera watapata adhabu kali.