Skip to content
الحِجر /

Aya 73

15 : 73
الحِجر Aya 99
Sura · الحِجر
Kiswahili · Barawani
15 : 73

فَأَخَذَتۡهُمُ ٱلصَّيۡحَةُ مُشۡرِقِينَ

Ukelele ukawatwaa wakipambaukiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Na walipo kuwa wao wamo katika ulevi wao wa mghafala nyoyo zao na akili zao zikachotwa na ukelele mkali mno wa kutisha, wakati jua lilipo chomoza.