Skip to content
الحِجر /

Aya 62

15 : 62
الحِجر Aya 99
Sura · الحِجر
Kiswahili · Barawani
15 : 62

قَالَ إِنَّكُمۡ قَوۡمٞ مُّنكَرُونَ

Alisema (Luut'i): Hakika nyinyi ni watu msio juulikana.

Explanation & meanings · 1
  1. Luut'i aliwaambia: Watu nyinyi sikujueni, na nafsi yangu inatishika nanyi. Naogopa msituletee balaa.