14 : 20
وَمَا ذَٰلِكَ عَلَى ٱللَّهِ بِعَزِيزٖ
Na hilo kwa Mwenyezi Mungu si jambo gumu.
Explanation & meanings · 1
- Na kuondoa huko na kuleta si muhali wala si uzito kwa Mwenyezi Mungu.
وَمَا ذَٰلِكَ عَلَى ٱللَّهِ بِعَزِيزٖ
Na hilo kwa Mwenyezi Mungu si jambo gumu.