Skip to content
الرَّعد /

Aya 9

13 : 9

Aya 9 of الرَّعد (13 : 9). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الرَّعد Aya 43
Sura · الرَّعد
Kiswahili · Barawani
13 : 9

عَٰلِمُ ٱلۡغَيۡبِ وَٱلشَّهَٰدَةِ ٱلۡكَبِيرُ ٱلۡمُتَعَالِ

Yeye ndiye Mwenye kujua yanayo onekana na yasio onekana; Mkuu Aliye tukuka.

Explanation & meanings · 1
  1. Yeye anayajua ya ghaibu tusiyo yahisi, na tunayo yashuhudia kwa ujuzi zaidi kuliko tunavyo shuhudia sisi na kuona. Na Yeye Subhanahu ni Mwenye shani kubwa iliyo tukuka juu ya kila kiumbe.