Skip to content
يُوسُف /

Aya 74

12 : 74

Aya 74 of يُوسُف (12 : 74). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يُوسُف Aya 111
Sura · يُوسُف
Kiswahili · Barawani
12 : 74

قَالُواْ فَمَا جَزَٰٓؤُهُۥٓ إِن كُنتُمۡ كَٰذِبِينَ

Wakasema: Basi malipo yake yatakuwa nini ikiwa nyinyi ni waongo.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Yusuf alikwisha waamrisha wafwasi wake wawaache nduguze waamue nini malipo anayo stahiki kupata yule atakaye onekana nacho kile kikopo, ili apate kumchukua nduguye kwa hukumu yao wenyewe, na iwe hukumu yao ndiyo ya kukata shauri, isiwepo njia ya kumwombea. Basi watu wa Yusuf wakawaambia wale nduguze: Nini malipo ya wevi kwenu wanapo gundulikana ni katika nyinyi?