12 : 105
وَكَأَيِّن مِّنۡ ءَايَةٖ فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ يَمُرُّونَ عَلَيۡهَا وَهُمۡ عَنۡهَا مُعۡرِضُونَ
Na ishara ngapi katika mbingu na ardhi wanazo zipitia, na hali ya kuwa wanazipuuza.
Explanation & meanings · 1
- Na dalili ni nyingi mno za kuonyesha kuwepo Muumba, na Upweke wake, na Ukamilifu wake, ziliomo katika mbingu na ardhi, ambazo wanaziona watu wako, na wanazipuuza kwa inda, hawataki kuzizingatia.